Brasil hawezi chukua kombe,kombe linavuka Bahari ya Atlantic kwenda Ulaya.Just an observation.....
8 teams are left in the World Cup.
Of those 8, four are from Europe and the other four are from Latin America (Central and South America).
From Europe you got France, Germany, Netherlands, and Belgium.
Latin America is represented by Brasil (the eventual winners of WC 2014, mark my words), Argentina, Colombia, and Costa Rica.
Ahahaha isha poa dada!Ile nyimbo ya Diamond ya 'nataka kulewa' ile jana baada ya dakika 120 ili make a lot of sense ahahahaha
Siku 2 za mapumziko tufanye kazi sasa khaa!Maana kazi yenyewe si watanifukuza kwani output yangu ni ziro kazini kwa sasa lol
Duh!! Nimeumia sana pamoja na wewe asbh hii nilipoona matokeo,jana niliona mpka half time tu.
Brasil hawezi chukua kombe,kombe linavuka Bahari ya Atlantic kwenda Ulaya.
Mkuu hao watoto wa FB, Instagram hawana kazi za kufanya wamekuja kutukana tu, ndiyo maana nikampuuza tu.hii lugha ya huyo jamaa sijaifagilia kabisa
Mkuu jana nilipokutajia jina hilo kuwa litawaua ulisema majina hayachezi mpira. Nafurahi leo umekiri jamaa ni mbaya....HahahhaaaaaaaaaLukaku dada yangu!Alipoingia Lukaku ndiyo balaa likaanza
Vibaka hawakuchukua vyao....Ahahaha isha poa dada!Ile nyimbo ya Diamond ya 'nataka kulewa' ile jana baada ya dakika 120 ili make a lot of sense ahahahaha
Kabla ya Kombe la dunia 2014 kuanza hata England, Italy, Spain walisema hivyo hivyo...2018 USA will be very strong!!Wont be easy for any team I say again for any team to knock out USA @ Russia !!Mark my words prematurely
Kabla ya Kombe la dunia 2014 kuanza hata England, Italy, Spain walisema hivyo hivyo...
Mkuu nilisema wazi jana kuwa timu zenye wachezaji asili ya Afrika ndizo nashabikia sasa, nikianzia na Belgium na Netherland...Mkuu hauna team hadi sasa huko Brazil ahahahaah
Lukaku dada yangu!Alipoingia Lukaku ndiyo balaa likaanza
Hivi ratiba ya robo fainali inasemaje?
nipo tayari kubet.
nasema hivi kombe haliendi argentina.
likienda argentina kwa mpira ule, basi TZ 2018 tutafika fainali ya WC.