World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kati ya timu iliyoniuma kutoka ni USA kwani waliwekeza sana kwenye Mpira na hata kwenye hii wedi kapu wao walikuwa watu wa pili kwa kununua tiketi na hii yote kwa sababu waliamini timu yao.
Najua 2018 watafika mbali sana
 
Siku 2 za mapumziko tufanye kazi sasa khaa!Maana kazi yenyewe si watanifukuza kwani output yangu ni ziro kazini kwa sasa lol
 
Just an observation.....

8 teams are left in the World Cup.

Of those 8, four are from Europe and the other four are from Latin America (Central and South America).

From Europe you got France, Germany, Netherlands, and Belgium.

Latin America is represented by Brasil (the eventual winners of WC 2014, mark my words), Argentina, Colombia, and Costa Rica.
Brasil hawezi chukua kombe,kombe linavuka Bahari ya Atlantic kwenda Ulaya.
 
2018 USA will be very strong!!Wont be easy for any team I say again for any team to knock out USA @ Russia !!Mark my words prematurely
Kabla ya Kombe la dunia 2014 kuanza hata England, Italy, Spain walisema hivyo hivyo...
 
Kila team iliyoongoza kundi lake imevuka!Historia mpya kwa WC!Zote 8 zilizopita hazikubahatisha kwenye hatua za kwanza
 
Lukaku dada yangu!Alipoingia Lukaku ndiyo balaa likaanza

Duh! tumsamehe bure tu sababu ni ngozi nyeusi mwenzetu,mi ndo maana nasema ngozi nyeusi iko vizuri sana kwenye soka ni vijimambo tu vinatukwamisha ila soka twaweza.
 
Back
Top Bottom