Kina Malinzi wanaweza kuweka cooling breaks hata km mvua inanyesha.......chezea soka mipango?
ni kweli mkuu sometimes lucky ina matter katika mpira mungu atusaidie germany tusonge TEAMGERMANY#
bao zimefika ngapi for The Greatest Team Germany?
Duu...Inaelekea ulikuwa hujui kinachoendelea....
Halirudi,ila hawa Germany mwisho wao ni nusu fainalMuda wowote goli linarudi
Muda wowote goli linarudi
haina mvuto kabisaHii game haina ubora wa game za 16 wanacheza kama wapo kwenye makundi
QUIZ; Huyu anaitwa nani?
Muda wowote goli linarudi