Wamepiga moja lakini very soon watatumbukiza jingine.
senk yuu vere macheee sasa namkaribisha mdau wa timu pinzani nae atoe maoni yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepiga moja lakini very soon watatumbukiza jingine.
Ndo maana nimemshangaa mjumbe aliyepita, ndugu mwenyekiti kwa ruhusa yako naomba kukaa maana umenisaidia kuweka kumbukumbu sawa
Baadae Brazilnaunga mkono hoja... . sijui baadae yuko team gani
Hii ni big match kwa maneno wala si kwe mchezo, mechi ya Algeria na Germany ndio ilistahili kuwa robo fainali.
Asante mjumbe. Tusubiri filimbi ya refa.
ile game ilikuwa hovyo mkuu germany walionyesha kiwango kibovu haikupaswa kuwa robo fainali!
TFF bado hawajaiga Cooling Break(s)? Malafyale
TFF bado hawajaiga Cooling Break(s)? Malafyale
Baadae Brazil
Hahahaaah,,,,,tusubiri ligi ianze na hasa katika miji ya dar, moro na tanga. Haiwezekani mbeya kukawa na cooling breaks.TFF bado hawajaiga Cooling Break(s)? Malafyale
TFF bado hawajaiga Cooling Break(s)? Malafyale