Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kibo habari yako.... ni kweli uyasemayo
Angalau kipindi cha pili France wanaonekana wemekuja kushindana.
Haya bana ila ujue brazil ndo hivyo kashapigwa 3 kwa 2 na Colombia na kutolewa nje ya mashindano, umenipata? Hiyo gemu ya baadaye ni katika kukamilisha tu ratiba.
Mzinga wangu wakwanza umekata wapi house boy aende faster kwa masawe niendelee kuranduka maana hizi mechi bila kuwa pungufu kichwani unaweza kudata,team German ngapi ngapi wakubwa?
Mbele tu......twende huku![]()
si ulisema hauna timu au ulikua wapima upepo
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Team]#Team germany[/URL]
Nzuri heaven wewe ni mfaransa?
ye ndio atanifanya niangalie hiyo match hapo baadae
Mbele tu......twende huku![]()
sa hivi wako kasi hata mzuka wa game umepanda