World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mbele tu......twende huku
2399037_big-lnd.jpg
 
Angalau kipindi cha pili France wanaonekana wemekuja kushindana.
 
Matuidi ana engine powerful ka ya kaka yake Patrick Vieira
 
Haya bana ila ujue brazil ndo hivyo kashapigwa 3 kwa 2 na Colombia na kutolewa nje ya mashindano, umenipata? Hiyo gemu ya baadaye ni katika kukamilisha tu ratiba.

Colombia hana historia hiyo. Utashangaa leo utakapoona Colombia wanalainishwa kama mlenda.
 
Ozil ni bonge la mzigo, anakimbia kimbia tuu uwanjani kama Sanifu Lazaro "Tingisha"

Cc rubaman
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom