Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,860
France watasawazisha afu mechi itaamuliwa kwa matuta.
kiukweli Mimi ushindi Wa Leo nampa German anashinda goli 3 kwa 1 kuna penati leo lakini ni ndani ya daika 90
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
France watasawazisha afu mechi itaamuliwa kwa matuta.
Hope utaku nae mida hiyo ...
Germany VS.....ulimaanisha Brazil?
Game ikuwa nzuri na haijasimama sana
kiukweli Mimi ushindi Wa Leo nampa German anashinda goli 3 kwa 1 kuna penati leo lakini ni ndani ya daika 90
Kipindi cha pili kinatuletea ushindi ufaransa
Majerumani yakishavaa jezi zao nyeupe lazima yashinde game ndio kazizi kao!
Wewe naona unajitafutia presha, nimesema Germany vs Colombia, sasa brazil anapitia mlango gani hapo? Na hata akipita anasubiriwa kwa hamu na vijana machachari wa Angela Makel
kinyume chake
Endeleeni kuishi kwa matumaini!
Maswaliii.....![]()
Mi nataka apite kasha apigwe na "vitu vyenye ncha kali" vya Makel
Huyu kishungi wa France,hatari sana.