World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mimi ninazungumzia wakoloni wetu, waliotutawala Tanganyika .

Na katika hii mechi kuna mmoja tuu ndiye aliyetutawala

Na ndie atakayeshinda hii mechi {Weka kumbukumbu hii post}

exhibition 1: Umevaa jezi ya Ozil.

QUOTE=DonDonald;9980031]Hahaha umeshaanza kuwakana wenzako?

Yes kazi imeshaanza, wakoloni bana[/QUOTE]

exhibition 2: Umevaa jezi ya Podoski.
Hamna sehemu nimesema mimi ni #TeamGermany

Ninachosisitiza kwenye hii mechi ni kuwa #Mkoloni anashinda hii mechi

#ThreeLions 4Life tunatisha vibaya sana lol

Muhimu: Mimi sio #TeamGermany ila #Mkoloni anashinda leo #ThreeLions tunajenga timu moja kali sana ya kutisha

#Team3Lions mnajenga timu kama vile Serikali ilivyo na mpango wa kuhamisha makao makuu from Dar to Dodoma.
 
ufaransa kiungo kimekufa . hawawezi kuendelea kutegea mipira mirefu kupata goli
 
bado lilelile

Aaagh! Kwa nini hawa Germany leo wana huruma hivi? 2002 walimtwanga Saudi arabia 8 kwa nunge, juzi kati ureno kaipata fresh kala 4 kwa nunge sasa hawa Le France wanawalealea walitakiwa wawe wameshatundikwa hata 6 bila.
 
watashindanaaaa
2399013_big-lnd.jpg
 
dakika ya nyongeza ni moja tu, ukizingatia kulikuwa na break ya kunywa maji, hii kali.
 
Back
Top Bottom