Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
hatari hapa sema France leo wako fungu la wakosaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa mzuri sana hata nashangaa kwanini L'pool inataka kumuuza hasa ukitilia maanani ubingwa wa EPL umewapiga chenga kwa miaka mingi sasa. Mie naamini kama watakuwa na Suarez msimu ujao L'pool itakuwa timu yenye nafasi nzuri kuutwaa ubingwa wa EPL kuliko ukilinganisha na timu yoyote ile. Pamoja na matatizo yake timu nyingi zipo tayari kutake risk ya kuwa naye.
Refa mfaransa nn??
hahaha vijana wa France bado wanapelekeshwa
Germans wanapenda mno kujiangusha
Refa mfaransa nn??
Hahahaaaa.... #Germany oyeeeee
dah tumewakosa wajerumani, magoli yapo tu, go go go france
Liverpool ipo pale kwa uzembe wa Man Utd, sasa hivi Van Gaal anairudisha team kwenye shape mkuu,
Kati ya Chelsea au Arsenal mmoja ajiandae kutoka top 4. Man City hatoki pale hata iweje
Yaani france wanakimbizwa mpaka watakaa wenyewe
Wadau update jamani ee...yamefika mangapi ma4 au ma5?
Mkuu napenda kukupa ukweli
1. France anashinda
2. Brazil anashinda
Usipate shida, nikweli colombia wazuri lakin ubavu kuwafunga brazil hawana.
Ndio ufaransa anashinda 2-1
Wadau update jamani ee...yamefika mangapi ma4 au ma5?