World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Jamaa mzuri sana hata nashangaa kwanini L'pool inataka kumuuza hasa ukitilia maanani ubingwa wa EPL umewapiga chenga kwa miaka mingi sasa. Mie naamini kama watakuwa na Suarez msimu ujao L'pool itakuwa timu yenye nafasi nzuri kuutwaa ubingwa wa EPL kuliko ukilinganisha na timu yoyote ile. Pamoja na matatizo yake timu nyingi zipo tayari kutake risk ya kuwa naye.

Liverpool ipo pale kwa uzembe wa Man Utd, sasa hivi Van Gaal anairudisha team kwenye shape mkuu,

Kati ya Chelsea au Arsenal mmoja ajiandae kutoka top 4. Man City hatoki pale hata iweje
 
Liverpool ipo pale kwa uzembe wa Man Utd, sasa hivi Van Gaal anairudisha team kwenye shape mkuu,

Kati ya Chelsea au Arsenal mmoja ajiandae kutoka top 4. Man City hatoki pale hata iweje

Labda hao Chelski.....Gooners hatoki top 4....kwa miaka yote flops zetu kwa Liverpool ni mafanikio!
 
33 mins: Griezmann forces a smart save from Neuer. Benzema pounces on the rebound but his shot is deflected over
 
Mkuu napenda kukupa ukweli
1. France anashinda
2. Brazil anashinda

Usipate shida, nikweli colombia wazuri lakin ubavu kuwafunga brazil hawana.

Hii ya Brazil kushinda leo nina hofu sana!
Ni ngumu sana!
 
Back
Top Bottom