World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Haya kwa wale wenzangu na mimi muda wa kudandia timu zinazoshinda unakaribia kuwadia...
 
Hivi dakika hazijaisha kweli mbona kama wamecheza muda mrefu sana?
 
Eti Pogba ni 20yrs aisee sio miaka ya passport kweli kama kina Essien?


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Li nyagi lina tiririka stim hakuna presha yagem hiyo.
 
Bastein kawaida yake yellow card kama vile khedira


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Hivi hawa makocha mpira unavyochezwa viti vyao vinahamishwa?maana hawakai kabisa dakika zote.
 
Kosa moja lilisababisha goli moja. Sasa kulirudisha kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…