Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo Germany hana chini ya goal 2
sub nzuri hiyo
Hizi ndo huwa naziita sub za kizushi dk arobain na usee nini manayake?
View attachment 168909
Sema hata Ulaya wanachakachua huyo kushoto ni Lalana ana miaka26 sasa mcheki huyo mwingine mwenye koti kulia ni Diego costa ye ana miaka25,,,teh teh teh wakat anaonekana 33 kabisa
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
hahahaha kama nakuona unavyorusharusha miguu
Vibaya mnoAfu goal 1 kama la Nguruwe huwa linauma sana..
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Wajerumani wamelegeaaaa sijui kwa nini
Hivi kweli hakukuwa na "mkono" wa France pale...?nakumbuka nusura De Lima afe akicheza na hawa hawa...
kuna zile za dakika ya mwisho mtu anaingia na mpira unaisha.
hahahaha wa 26 mbona age kama imeenda saana..... kuna picha moja niliona wa mchezaji kutoka Nigeria nae nilicheka sana... sijui ka unamjua
Kazi nzuri Dechamps,tutachukua kombe Euro cup 2016,France wamejitahidi sana,wamefika robo fainali,baada ya kumaliza vibaya 2010
Funika ni yule wa cameroon anayecheza Italy eti ana miaka 17:hahahaha wa 26 mbona age kama imeenda saana..... kuna picha moja niliona wa mchezaji kutoka Nigeria nae nilicheka sana... sijui ka unamjua