World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

France ilikua hii bana...
1.Barthez
2.Sagnol
15.Thuram
8.Desailly
3.Lizarazu
17.Petit
7.Pires
11.Wiltord
10.Zidane
20.Trezeguet
12.Henry


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
wamecheza kwa juhudi sana ndio maana.....


Nikweli kabisa ujerumani walijituma sana, wakati ufaransa wakiingia na mbinu ya kishamba kupoza mpira.

Nahiyo mbinu imewaghalim, wamecheza ovyo sana kipind cha kwanza na germany wakafanya kweli.
 
Wajerumani wana sura ngumu hao... sijui wakitabasamu wanakuwagaje?
 
nimerekodi hii mechi bure kabisa, nimeharibu dvd/disk yangu bure kabisa.
 
90mins zilizobaki ni za refa


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Matokeo hayalingani na mechi ilivyokuwa, robo fainali iliyopooza kuliko. Wanakumbuka shuka kumekucha!
 
Back
Top Bottom