World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

everlenk ,kwa mara ya kwanza nimenja machungu ya kuwa upande wa kufungwa.

Leo upowapi wangu? mic you hardly my dear. please...........
 
Last edited by a moderator:
KIBONGOBONGO ZAIDI: Kipa wa Ujerumani vipi mbona mapumziko aling'ang'ania kale kajifurushi (taulo na mazagazaga mengine) hata hakutaka Kamera zione kuna nini, na Mwishoni vile vile ameng'ang'ania kajifurushi kake? Wapenzi wa SIMBA NA YANGA mnasemaje kuhusu hili maana timu za nje zikijaga Taifa huwa hamtaki Kipa wa timu pinzani aweke taulo golini.
 
Haya saivi hamna kuondoka kwa pamoja, anaondoka mmoja mmoja, tunamsubiri atakaeondoka usiku
 
Code:
Katavi....
311150.png
man of the match
 
France ilikua hii bana...
1.Barthez
2.Sagnol
15.Thuram
8.Desailly
3.Lizarazu
17.Petit
7.Pires
11.Wiltord
10.Zidane
20.Trezeguet
12.Henry


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Mkuu umenikuna, hiyo ndo ilikuwa Ufaransa hasa kwa Karne hii ya 20/21. Kuna ile Brasil ya KArne ya 21 pure, kama kuna mdau anayo full Eleven atuwekee Ronaldo de Lima akiwemo!
 
Back
Top Bottom