World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

RECAP - Manuel Neuer's performance showed why he's rated by many as one of the best keepers in the world
 
Mechi za leo..
Group E vs Group G.
Group A vs Group C

Mshindi wa grupu G kashamtoa mshindi wa grupu E, Je mshindi wa grupu C anaweza kumtoa mshindi wa grupu A?
 
yaani rais wa Columbia katangaza leo siku ya mapumziko ili wananchi wake waweze kutizama kandanda la vijana wao
 
Germany hoyeeeee! Nimefurahi sana kwa kua kisiki cha mpingo ndo hivyo kishatangulia semifinal kumsubiri kati ya Colm na Braz, hapa ndipo naburudika zaidi maana Braz anakipande kigumu dk chache zijazo na akipita anakikuta cha mpingo kwisha habari yake. Na kama Colombia watapita leo, kitu ambacho hakipingiki, atakutana na Germany ambapo yeyote kati yao atakayesonga mbele kwangu ni pouwwa kabisa. Jamani mniamshe gemu likianza najiegesha kidogo.
 
Mechi za leo..
Group E vs Group G.
Group A vs Group C

Mshindi wa grupu G kashamtoa mshindi wa grupu E, Je mshindi wa grupu C anaweza kumtoa mshindi wa grupu A?

Hiyo ni pai yaani 3.14.
 
Back
Top Bottom