World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kabisa England anashinda Leo, Vialli Kasema Italy they eat pressure for breakfast ila england can't handle pressure ila Leo Azzuri analiwa japo hata Mie 94 nilikuwa mshabiki wa Italy sababu ya Baggio ila Leo Italy kashinda draw.

Dua ya kiroboto haipozi maji ya moto!
 
Mbona mimi sina mzuka na timu za Taifa za wazungu? Yani mechi ya England & Italy hata sina kimuhemuhe nayo, akiliyangu ipo Alfajriiiii nimuone Dr Ture akifanya vitu vyake.
 
Vipi!! Eti jana Cameroon walishinda ngapi vile..??
 
Utakuwa mbaguzi wa rangi wewe.
 
Africa bado sana kwenye soka
Wachezaji wetu wanaocheza ulaya wanabebwa na wazungu ndio maana wakicheza wenyewe ni hewa tu!
 
Kabisa England anashinda Leo, Vialli Kasema Italy they eat pressure for breakfast ila england can't handle pressure ila Leo Azzuri analiwa japo hata Mie 94 nilikuwa mshabiki wa Italy sababu ya Baggio ila Leo Italy kashinda draw.

Leo utapata wapinzani wengi sana hapa ila watakaa kimya baada ya dakika 90

cc Katavi rubaman
 
Last edited by a moderator:
Mbona mimi sina mzuka na timu za Taifa za wazungu? Yani mechi ya England & Italy hata sina kimuhemuhe nayo, akiliyangu ipo Alfajriiiii nimuone Dr Ture akifanya vitu vyake.

Kama vile mie nisivyo na hamu na timu ya Cameroon(wazee wa posho).hii ni burudani ya kwenye tv tuu,it's just a matter of choice.unachagua kitu roho inapenda kuangalia.wala haibadilishi chochote katika mioyo yetu.ila kuna jambo moja,there is a thin line between "uzalendo" and "ukaburu".beware!cc shifta Mourinho Belo Ntuzu ALEYN EMT na wapenzi wote wa soka ya ulaya humu jf.
 
Last edited by a moderator:
Vipi!! Eti jana Cameroon walishinda ngapi vile..??
Tulipoteza kwa goli moja, lakini refa katunyima penalty yetu. Ila bado ninaimani na watu weusi wenzangu. Vp mwenzangu, kati ya mabeberu yaliyo twangana jana lipi lilikua beberu lako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…