World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hivi saa nne ni nani anacheza kati ya costarica na uruguay au Italy na na England? au England na Italy ndo itakuwa hiyo saa saba za usiku? maana sielew elewi hapa
 
Colombia

01 Ospina 18 Zuñiga 07 Armero 06 Sánchez 02 Zapata 03 Yepes 11 Cuadrado 08 Aguilar 09 Gutiérrez 10 Rodríguez 14 Ibarbo

Greece

01 Karnezis 15 Torosidis 20 Holebas 08 Kone 04 Manolas 19 Papastathopoulos 14 Salpingidis 02 Maniatis 17 Gekas 21 Katsouranis 07 Samaras
 
Hapo angekuwepo Fgrt angefaidi ulabu wa karibia bure. Anyway, England huwa wanatafuta sababu ndogo sana ya kukusanyika kunywa lagers mfungwe msifungwe kelele zitapigwa na pints zitanyweka kama uswahilini kwetu. Kesho mtaanza kutukanana katika TalkSport radio

Umenikumbusha kichwa kimoja muhimu sana, hope yupo sawa na mambo yake, ngoja wafungwe leo, kesho uwasikie wakina Robbie Savage wanavyokandya

Hii mechi inayoaanza sasa inaonyesha timu yeyote kwenye group lao inaweza kuingia round ya pili, timu zote ninahisi viwango vyao vipo sawa
 
Hivi saa nne ni nani anacheza kati ya costarica na uruguay au Italy na na England? au England na Italy ndo itakuwa hiyo saa saba za usiku? maana sielew elewi hapa
Saa nne costa rica na uruguay,,,,,,,,,italy na england saa saba.
 
Colombia

01 Ospina 18 Zuñiga 07 Armero 06 Sánchez 02 Zapata 03 Yepes 11 Cuadrado 08 Aguilar 09 Gutiérrez 10 Rodríguez 14 Ibarbo

Greece

01 Karnezis 15 Torosidis 20 Holebas 08 Kone 04 Manolas 19 Papastathopoulos 14 Salpingidis 02 Maniatis 17 Gekas 21 Katsouranis 07 Samaras
Bado sijui hapa nishangilie nani,,,,,,,,,,,enewei ngoja niwape kampani colombia
 
Hivi saa nne ni nani anacheza kati ya costarica na uruguay au Italy na na England? au England na Italy ndo itakuwa hiyo saa saba za usiku? maana sielew elewi hapa

Uruguay vs Costa Rica ni saa 22:00
England vs Italy 01:00
 
Colombia wanaonyesha wana moto mzuri

Colombia 1 - Greece 0

Dakika ya 5
 
Umenikumbusha kichwa kimoja muhimu sana, hope yupo sawa na mambo yake, ngoja wafungwe leo, kesho uwasikie wakina Robbie Savage wanavyokandya

Hii mechi inayoaanza sasa inaonyesha timu yeyote kwenye group lao inaweza kuingia round ya pili, timu zote ninahisi viwango vyao vipo sawa

Ivory Coast wakishindwa kusonga mbele toka hili group itabidi wafungiwe kuingia World Cup milele. Nadhani Japan atashinda hili group. Ebana Colombia kama Waafrika huyu Ibarbo(Caligliari-Serie A) nilidhaniaga ni mpopo.
 
Colombia ina wachezaji wasiyokuwa na majina ila wazuri sana ..
 
Colombia vs Greece bonge la game!So far kwangu timu dhaifu kwangu ni Spain!

Aussie jana wamecheza vyema zaidi hata ya Spain ingawaje wamefungwa na Chile!!
 
Umenikumbusha kichwa kimoja muhimu sana, hope yupo sawa na mambo yake, ngoja wafungwe leo, kesho uwasikie wakina Robbie Savage wanavyokandya

Hii mechi inayoaanza sasa inaonyesha timu yeyote kwenye group lao inaweza kuingia round ya pili, timu zote ninahisi viwango vyao vipo sawa
Tehtehteh Robbie Savage ndio zake hasa kazi yake kukosoa Arsenal muda mwengine kuhusu Arsenal nacheka sababu anafanya kusudi anajijuwa ni Savage vs Arsenal basi huwa kashajitarisha kukosoa mtu mwengine huwa simuelewi anafanya kusudi aone comment ni Adrian Durham Kule Daily Mail sijui nini anachoandika.
 
Colombia ukitoa weupe(latino) wachache ukawaweka weusi wote utasema hii ni timu ya Afrika badala ya Amerika kusini.
 
nauliza ivi iyo mistali anayochora refa mfano mchezaji akiuvuka adhabu yake inakuaje
 
Hahahaha Wabongo bana, eti wauza unga! Umesahau kusema ni walima wa Unga pia kama unga unalimwa.
hao walimaji wauzaji wengi ni Mexico nafikiri Colombia ni mboga Yale majani? Au Kama sijakosea na watumiaji asilimia kubwa United State au wanunuzi.
 
Back
Top Bottom