Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo angekuwepo Fgrt angefaidi ulabu wa karibia bure. Anyway, England huwa wanatafuta sababu ndogo sana ya kukusanyika kunywa lagers mfungwe msifungwe kelele zitapigwa na pints zitanyweka kama uswahilini kwetu. Kesho mtaanza kutukanana katika TalkSport radio
Saa nne costa rica na uruguay,,,,,,,,,italy na england saa saba.Hivi saa nne ni nani anacheza kati ya costarica na uruguay au Italy na na England? au England na Italy ndo itakuwa hiyo saa saba za usiku? maana sielew elewi hapa
Bado sijui hapa nishangilie nani,,,,,,,,,,,enewei ngoja niwape kampani colombiaColombia
01 Ospina 18 Zuñiga 07 Armero 06 Sánchez 02 Zapata 03 Yepes 11 Cuadrado 08 Aguilar 09 Gutiérrez 10 Rodríguez 14 Ibarbo
Greece
01 Karnezis 15 Torosidis 20 Holebas 08 Kone 04 Manolas 19 Papastathopoulos 14 Salpingidis 02 Maniatis 17 Gekas 21 Katsouranis 07 Samaras
Hivi saa nne ni nani anacheza kati ya costarica na uruguay au Italy na na England? au England na Italy ndo itakuwa hiyo saa saba za usiku? maana sielew elewi hapa
Umenikumbusha kichwa kimoja muhimu sana, hope yupo sawa na mambo yake, ngoja wafungwe leo, kesho uwasikie wakina Robbie Savage wanavyokandya
Hii mechi inayoaanza sasa inaonyesha timu yeyote kwenye group lao inaweza kuingia round ya pili, timu zote ninahisi viwango vyao vipo sawa
Asante mkuuSaa nne costa rica na uruguay,,,,,,,,,italy na england saa saba.
Gooooooal wauza unga wamepata goli.
Tehtehteh Robbie Savage ndio zake hasa kazi yake kukosoa Arsenal muda mwengine kuhusu Arsenal nacheka sababu anafanya kusudi anajijuwa ni Savage vs Arsenal basi huwa kashajitarisha kukosoa mtu mwengine huwa simuelewi anafanya kusudi aone comment ni Adrian Durham Kule Daily Mail sijui nini anachoandika.Umenikumbusha kichwa kimoja muhimu sana, hope yupo sawa na mambo yake, ngoja wafungwe leo, kesho uwasikie wakina Robbie Savage wanavyokandya
Hii mechi inayoaanza sasa inaonyesha timu yeyote kwenye group lao inaweza kuingia round ya pili, timu zote ninahisi viwango vyao vipo sawa
hao walimaji wauzaji wengi ni Mexico nafikiri Colombia ni mboga Yale majani? Au Kama sijakosea na watumiaji asilimia kubwa United State au wanunuzi.Hahahaha Wabongo bana, eti wauza unga! Umesahau kusema ni walima wa Unga pia kama unga unalimwa.