World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

 
Last edited by a moderator:
timu zetu Africa zina nini? Nikitizama Cameroon miili Yao Kama Columbia ila Cameroon mabeki wanacheza kwa Fujo bila kutulia mtu akikimbia na mpira utaona beki anataka kumrukia mbili mara Red card wakati mwili wakumpa mtu upaja anao wengine wanamabeki Fujo ni Ivory Coast wanatakiwa watulie mwili watumie kwa akili sio unamrusha mtu Kama Rigobert Song enzi zake Fujo tu timu ya Africa Wenye kutumia mwili na akili vizuri ni Ghana tu Nigeria wao Hawana mwili ila mpira Wanapiga tatizo la Nigeria ubitozi unazidi uwanjani wakija kufungua macho wanasikia kipenga Mie nafasi Naipa Ghana japo Group gumu.
 
Hili group kama Ivory coast ikikaza itaongoza hili group.
Wasilete ukameruni tuu.
 
Hili group kama Ivory coast ikikaza itaongoza hili group.
Wasilete ukameruni tuu.

Cote de Voire HAMFUNGI Colombia wala Greece na asipopata point leo kwa Japan anaondoka Brazil bila point yeyote!Colombia ataongoza kundi hili maana foward yao ina akili sana!!
 
Cote de Voire HAMFUNGI Colombia wala Greece na asipopata point leo kwa Japan anaondoka Brazil bila point yeyote!Colombia ataongoza kundi hili maana foward yao ina akili sana!!

kwa mpira huu wanaocheza Colombia na Greece, sijaona timu ya kutisha.
pengine viwango ni sawa na cote de voire au wamezidiwa.
Tusubiri tuone ndugu zetu wataanzaje.
 
Ivory Coast wakishindwa kusonga mbele toka hili group itabidi wafungiwe kuingia World Cup milele. Nadhani Japan atashinda hili group. Ebana Colombia kama Waafrika huyu Ibarbo(Caligliari-Serie A) nilidhaniaga ni mpopo.

Hili group litakuwa na upinzani sana, Ivory Coast wanaweza kupita ila inabidi wawe ngangari . Sioni kama wanaweza kushinda kirahisi, kama watashinda
 
Nasubiri mechi ya Belgium.

Ha ha haa!hili ni jibu muafaka kwa Kitoabu,ila sijui kama amekuelewa.mheshimiwa Pazi haya mautundu ya mapicha sina,kama wewe unayo,hebu naomba muwekee Kitoabu picha za vikosi vya kombe la dunia vya Algeria(from Africa) na Belgium(europe),halafu atuambie katika mechi hiyo atashabikia timu gani!please,weka picha ili watu wamwelewe EMT.,ha,ha,haa!kitoabu umeshikwa pabaya mnoo!nakusubiri nione utachomokea wapi!jf bhana raha sana!
 
Last edited by a moderator:
Colombia ni wazuri sana, lakini leo hawako seriuos.

wanafanya mzahamzaha hivi, lakini wakiamua hawajamaa utawapenda.
 
Back
Top Bottom