World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mimi siamini kama wapenzi wa colombia wanategemea leo watashinda
 
Mimi siamini kama wapenzi wa colombia wanategemea leo watashinda

Ndo hivyo sasa tunategemea ushindi wa goli 3 kwa 2 kisha tunawaaga brazil maana watakua nje ya mashindano baada ya dk 90 za leo.
 
Muda wa "Mtoto hatumwi dukani" umewadia sasa

Lazima wafungwe leo, hamna jinsi
 
Inategemea na jinsi MANU watakavyosajili, kama pochi yao nyembamba kuwachukua Wacheza wakali duniani basi nafasi yao ni #7 kurudi nyuma.

Liverpool ipo pale kwa uzembe wa Man Utd, sasa hivi Van Gaal anairudisha team kwenye shape mkuu,

Kati ya Chelsea au Arsenal mmoja ajiandae kutoka top 4. Man City hatoki pale hata iweje
 
Inategemea na jinsi MANU watakavyosajili, kama pochi yao nyembamba kuwachukua Wacheza wakali duniani basi nafasi yao ni #7 kurudi nyuma.

Sidhani kama kusajili ni kuchukua kombe.

Kinachomata ni kuwa na wachezaji wanaocheza kiteam sio individual talents.

Angalia SAF mara ngapi anachukua kombe akiwa na team inayoitwa dhaifu mbele ya Man city wenye kikosi bora??
 
nasi tunasema brazil wapigwe tu maana hatuna namna nyingine ya kuwabeba kupitia refa

brazil kiwango chao kinapanda siku hadi siku kadri haya mashindano yanavyoendelea.
sitashangaa brazil kushinda hii mechi ndani ya dakika 90.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…