mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Nacheza FIFA 14 kwenye PC hapa, Hivi nikitaka Suarez aning'ate, nafanyaje? Nisaidie
Subiri tumuulize yule beki wa italia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nacheza FIFA 14 kwenye PC hapa, Hivi nikitaka Suarez aning'ate, nafanyaje? Nisaidie
Ndani ya nyumba.
Go Hulk, go Oscar, go Neymar, go Thiago Silva, go Brasil!!!!
Bring on Germany.
Hapa nilipo wanasema #TeamColombia , #TeamUKAWA , lol
Mimi siamini kama wapenzi wa colombia wanategemea leo watashinda
Go luise
Liverpool ipo pale kwa uzembe wa Man Utd, sasa hivi Van Gaal anairudisha team kwenye shape mkuu,
Kati ya Chelsea au Arsenal mmoja ajiandae kutoka top 4. Man City hatoki pale hata iweje
Muda wa "Mtoto hatumwi dukani" umewadia sasa
Lazima wafungwe leo, hamna jinsi
Colombiaaaaaaa
hapa Zapata pale Yepes...
Inategemea na jinsi MANU watakavyosajili, kama pochi yao nyembamba kuwachukua Wacheza wakali duniani basi nafasi yao ni #7 kurudi nyuma.
Yaani unatoka kwenye maumivu unaenda kwenye maumivu zaidi?
yaaaaa kama umuofia kwenyuuuu...yaaaa
nasi tunasema brazil wapigwe tu maana hatuna namna nyingine ya kuwabeba kupitia refa