World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Neyma naye anataka afanye kila kitu kona yeye, free kicks, yeye ... free kicks angemuachia David Luiz
 
Yaani watu humu mnajipa tumaini kabisa kuwa colombia anashinda?? Hamna maono kabisa.
 
Hadi Silva kafunga,hawa Colombia waliwaonea vibonde kina Ivory coast,grece,na kina Fukushima,leo wataipata wataisoma number kwa kireno
 
Ooh oooh ooh mambo gani haya, mpira umekufa, mwenye mpira Pazi kaitwa kwenda kuosha vyombo.
 
Back
Top Bottom