World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mechi ya kwanza iliboa sana.

Hakika hii gem huwezi tafakali kama Steven wassira bungeni inahamasa kupita maelezo.
 
Bossman umekunywa viroba nini leo....? Manake it's like you don't know what you're talking about!!!

Wewe ndo utashangaa Jumanne weka nma wewe niwalambe wote hapa...
Germani ni bingwa kabisa.....iko so open...
 
Duh! Arifu, wewe kila timu unayoshabikia uwa inaonewa na refa?!?

Mkuu sio hivyo, nadhani umechanganya. Naongelea Colombia walipewa faulo eneo la hatari kwa Brazil ambayo ukiangalia isingetolewa in Colombian advantage. Huwa siangalii upande mmoja tu wa shilingi unless shilingi iwe ya "THE GUNNERS"
 
Wewe ndo utashangaa Jumanne weka nma wewe niwalambe wote hapa...
Germani ni bingwa kabisa.....iko so open...

Kwa nini tusiongeze dau liwe kilo kabisa.....

My Brasil wakishinda wewe unanipa kilo na Wajerumani wako wakishinda basi nakupa kilo yako.....

Deal?
 

Kumbe Brazil nao wanatumia ndumba, mwangalieni huyo profesa Maji Marefu wao hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…