Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
Wc nakula sana za uso nimepumzika. unamuona cuadrado anavyosumbua.
anasumbua kichizi, umemwona mshkaji wako hulk akili kisoda, nguvu kontena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wc nakula sana za uso nimepumzika. unamuona cuadrado anavyosumbua.
Arifu, kwako wewe mitindo ni nini?
i wishtuweke pesa na mtu....Brazil watafungwa mengi na ujerumani
huu mpira wa kitoto sana
i wishtuweke pesa na mtu....Brazil watafungwa mengi na ujerumani
huu mpira wa kitoto sana
Bossman umekunywa viroba nini leo....? Manake it's like you don't know what you're talking about!!!
Bantu lady unisaidie kumdai huyu HOE elfu hamsini Ujerumani ikiifunga Braziltutaweka na mimi boss
hiyo jumanne ntakushtua mapema tu
Duh! Arifu, wewe kila timu unayoshabikia uwa inaonewa na refa?!?
anasumbua kichizi, umemwona mshkaji wako hulk akili kisoda, nguvu kontena
Naomba usikimbie kama Bulldog akaweka dau la 2m kisha timu kufungwa akakimbia mie najitolea kuwa refa.
Wewe ndo utashangaa Jumanne weka nma wewe niwalambe wote hapa...
Germani ni bingwa kabisa.....iko so open...
elfu hamsini naweka Ujerumani anaifunga Brazil....wewe uko tayari?
Bantu lady unisaidie kumdai huyu HOE elfu hamsini Ujerumani ikiifunga Brazil
Kwa nini tusiongeze dau liwe kilo kabisa.....
My Brasil wakishinda wewe unanipa kilo na Wajerumani wako wakishinda basi nakupa kilo yako.....
Deal?