stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
Masela wa colombia wanasubiri tu washinde ili wamuone shakira akipita mtupu kama alivo ahidi
Hahahaha umeona eeeh? Nahisi ntakua mie ndo ntakua meneja lol
kumbe kilo zako 20 ulikosa. duuhhh
na wewe bet yangu iko pale pale elfu hamsini.....jiandae jumanne
hhahaha haya
leo wapi wewe
nizipate wapi msela alizingua....
Brazil asiposhinda leo nameza kisu
Naona watu wanaongelea ubingwa kwa kuzitaja Brazil na Ujerumani tu; hivi Argentina na Uholanzi hawana nafasi kabisa? Je Belgium? Bado kumbu kumbu zipo Uholanzi ilivyoichachafya Brazil msimu uliopita au mmesahau?
tulishakuzoea we we......
kumeza kisu mchezo
Umenikumbusha kwenye UEFA champions league,ulisema sijui timu gani ikifungwa utameza kisuBrazil asiposhinda leo nameza kisu
Huyu Refa ni fa.la sana..
Brazil asiposhinda leo nameza kisu