World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Naona watu wanaongelea ubingwa kwa kuzitaja Brazil na Ujerumani tu; hivi Argentina na Uholanzi hawana nafasi kabisa? Je Belgium? Bado kumbu kumbu zipo Uholanzi ilivyoichachafya Brazil msimu uliopita au mmesahau?

yaani mimi natamani fainali iwe ni kati ya Argentina na Brazil.
 
Back
Top Bottom