Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Kwanini unashangilia hivi vitimu vya hovyo hovyo? Achana navyo banaaaa lol!!!
hapana hatukupinga
kipa Brazil yellow card
afadhali twende #teamcolumbia
Kadi nyekundu hii maana ile ni scoring opportunity
Kosa la Scolari leo ni kumuanzisha Maicon...