Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
washafunga mama
20 minutes to go
Unabahati maana ulisha jiandaa Kisaikolojia mapema..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
washafunga mama
20 minutes to go
Umeona eeee!!Colombia leo mdebwedo...!
Brazil anachukua ndoo hii...
Kipa Pazia
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Tiago Silva hatacheza semi final...!
Huyu mshikaji aliyebeba watoto ni nani?
Luiz duh la piliiiiiiii
huyu Louis balaa dah......
2 goals sasa
bwa nchuchu uko wapi....
neymar angepewa apige angepiga nje kama kawaida
Colombia alionekana mwamba kwa sababu alikutana na team vibonde kujumlisha na Uruguay ya bila Suarez ndo kabisa.Germany atatolewa na BrazilNilisema toka zamani colombia ndani ya dk90 atakuwa amefungashiwa virago raia kibao wakabisha!
Neema ana ukame wa magoli!
Waarabu wanajuana kwa vilemba...
Nilisema toka zamani colombia ndani ya dk90 atakuwa amefungashiwa virago raia kibao wakabisha!