Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri miaka kama 10 tutaona hawa ballboys katika timu za ulaya kama sio timu ya Taifa ya Brazil... Bonge la goli by Luiz. Mabest friend wamefunga magoli katika mechi moja.
Na wanaipeleka #teamBrasil nusu fainali...
Hivi nafkiria brazil wakitilewa wataliaje? Lol machozi yangu yashakwisha walupotelewa algeria kubwa kiroho kitamu
Kipa wa Colombia kaachia ile
we jiandae nikishinda nakununulia ice cream..
Tusubiri miaka kama 10 tutaona hawa ballboys katika timu za ulaya kama sio timu ya Taifa ya Brazil... Bonge la goli by Luiz. Mabest friend wamefunga magoli katika mechi moja.
wala sembe na mboga gani
#Team Colombia niliwaambia mjiandae Kisaikolojia..
Colombia leo mdebwedo...!
Brazil anachukua ndoo hii...