Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
#teamBrasil vs. #teamGermany hapo balaa tupu...
enhee baadae si atakuwepo.....
kuna mtu aliwahi kupigwa risasi??
fact kwa mara ya kwanza team anayoshangilia Katavi leo imeshinda
jamani James analia nasikia uchungu kwa kweli
hongereni Brazil
Tigo internet has disapointed, he failed to be live
Nampenda Davdi Luiz,i wish angekuwa mwanangu,anavyomkumbuka Mungu
Yaah ... hii ndiyo mechi. siyo ile european tie doro la mchana
Nampenda Davdi Luiz,i wish angekuwa mwanangu,anavyomkumbuka Mungu