Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
yaani we acha tu......Colombia wamenihuzunisha sana
I hope sitasikitika tena match zilizobakia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpira huu umenifuta machozi, mechi ya kwanza nilitoka nahuzuni sana kwa france kuchapwa kwa kucheza chini ya kiwango
kuna mtu aliwahi kupigwa risasi??
nimeumia sana leo.... hasa nilivyomuona Rodigruez analia.... nataman kulia
nimeumia sana leo.... hasa nilivyomuona Rodigruez analia.... nataman kulia
Mourinho kumuuza Luiz kachemsha sana...!
Best team has been knocked out!!
Sasa karibu kwenye timu ya ushindi (#TeamBrasil)
Mourinho kumuuza Luiz kachemsha sana...!
Yes,WC ya 94 kuna beki wao anaitwa Escobar nadhani.Alijifunga goli Colombia wakatoka,alivyorudi kwao wakachapa risasi.
Pole sana wangu ndo maana ulikuwa mdogo kama piriton,mi ya kwanza nilikuwa stress free zone.
Pole maana hata mimi mechi ya kwanza nilumia sana uliposhinda.
Kesho utafarijika endapo utakuwa upande wa holland au Agentina
Si sawa...Brasil ni namna inavyoandikwa na wenyewe..lakini Brazil ni waingereza wanavyoiandika..
Sasa kutoka Colombia hadi Columbia, hii sijawahi sikia!!!
Fainali ya Brazil na Argentina inanukia...!
dah hata mimi nilikosea hapo juu aseeWatu wanaandika Columbia!!!
mkuu angalia hii clip, utaona jinsi colombia inweza kuwa kolumbia.
https://www.youtube.com/watch?v=qFjke_ahBYY