World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

mpira huu umenifuta machozi, mechi ya kwanza nilitoka nahuzuni sana kwa france kuchapwa kwa kucheza chini ya kiwango

Pole sana wangu ndo maana ulikuwa mdogo kama piriton,mi ya kwanza nilikuwa stress free zone.
 
Ukilinganisha na timu nyingine zilizoingia 8 bora, Col ilikuwa team nzuri kiasi kwamba ilistahili kufika finali...
 
Nakubaliana nawe Mkuu, kachemsha sana jamaa ni beki mzuri sana halafu aliwahi kufunga goli mbili kwa Chelsea kama hili la leo.

Mourinho kumuuza Luiz kachemsha sana...!
 
wapendwa tutakieni usiku mwema na wengine asubuhi njema na wengine mchana mwema na wengine jioni njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…