hata hivyo alishasema asingirudi uingereza kwani wao ndiyo wamepambasha mapka akafungiwa
Sijakimbia, nimemwambia aje kuchukua kauchuna
nakuja.....
Tafuta hicho kisu uweke stendibai
Kama kawaida nilisema brazil atabebwa na kweli kabebwa sasa katimiza utabiri wa mcubic kuwa nusu fainali Germany vs Brazil. Sina la ziada ila niwatakieni asubuhi njema wanamichezo wote mlioshiriki kushusha updates hapa.
mkuu kwani mbuzi katoliki ana uhusiano gani na Mesi? Nunua mbuzi wa kawaida.
Ww ulisema Brazil anatoka kuanzia 16 bora..matokeo yake huyoo kaingia semi final...mm nawaamin sana samba boyz neymar hatakuwepo ila cha muhimu team n kua na spirit ya ushind..kuna willian na bernad wote naamin n wachezaj wazur wanaweza leta mabadiliko kwenye team..
Ni kweli nilisema brazil hafiki mbali isipokua kwa kubebwa kama ulivyoona hiyo jana. Bila kubebwa brazil ya mwaka huu haina uwezo wa kusonga mbele kubali kataa.
Ni kweli nilisema brazil hafiki mbali isipokua kwa kubebwa kama ulivyoona hiyo jana. Bila kubebwa brazil ya mwaka huu haina uwezo wa kusonga mbele kubali kataa.
Nijuavyo mimi bingwa ni Brazil bila hata ya kubebwa. Tatizo lenu wachukia Brazil mnaangalia majina makubwa katika soka duniani. Hayo majina kwa sasa hayapo Brazil mtashuhudia kila timu inayopita mbele ya Brazil ikicharazwa. Nawahakikishia wote mnaoichukia Brazil mtaendelea kuhuzunika hadi fainali. Jipangeni upya kwa ajili ya WC 2018.
Too sad kwa kutokumuona Neymar tena ila ndo wakati mzuri wa Bernard kufanya yake
Nijuavyo mimi bingwa ni Brazil bila hata ya kubebwa. Tatizo lenu wachukia Brazil mnaangalia majina makubwa katika soka duniani. Hayo majina kwa sasa hayapo Brazil mtashuhudia kila timu inayopita mbele ya Brazil ikicharazwa. Nawahakikishia wote mnaoichukia Brazil mtaendelea kuhuzunika hadi fainali. Jipangeni upya kwa ajili ya WC 2018.
kaka mbuzi-katoliki ndiyo chaguo la kwanza kwangu kama naona soka mechi ngumu
naweza nikampata pale vingunguti?