World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kama kawaida nilisema brazil atabebwa na kweli kabebwa sasa katimiza utabiri wa mcubic kuwa nusu fainali Germany vs Brazil. Sina la ziada ila niwatakieni asubuhi njema wanamichezo wote mlioshiriki kushusha updates hapa.

Ww ulisema Brazil anatoka kuanzia 16 bora..matokeo yake huyoo kaingia semi final...mm nawaamin sana samba boyz neymar hatakuwepo ila cha muhimu team n kua na spirit ya ushind..kuna willian na bernad wote naamin n wachezaj wazur wanaweza leta mabadiliko kwenye team..
 
Last edited by a moderator:
mkuu kwani mbuzi katoliki ana uhusiano gani na Mesi? Nunua mbuzi wa kawaida.

Kaka mbuzi-katoliki ndiyo chaguo la kwanza kwangu kama naona soka mechi ngumu

Naweza nikampata pale Vingunguti?
 
Ww ulisema Brazil anatoka kuanzia 16 bora..matokeo yake huyoo kaingia semi final...mm nawaamin sana samba boyz neymar hatakuwepo ila cha muhimu team n kua na spirit ya ushind..kuna willian na bernad wote naamin n wachezaj wazur wanaweza leta mabadiliko kwenye team..

Ni kweli nilisema brazil hafiki mbali isipokua kwa kubebwa kama ulivyoona hiyo jana. Bila kubebwa brazil ya mwaka huu haina uwezo wa kusonga mbele kubali kataa.
 
Jana colombia alifichwa kabisaa hakupewa nafac hata ya kupossess..brazil alibebwa wap?mm naona snc michuano ianze jana Brazil ndo kacheza kidogo mpira ambao nmezoea kuuona
 
Unajua mashabiki wa timu zilizotoka wana matatizo hao
 
Ni kweli nilisema brazil hafiki mbali isipokua kwa kubebwa kama ulivyoona hiyo jana. Bila kubebwa brazil ya mwaka huu haina uwezo wa kusonga mbele kubali kataa.

Nijuavyo mimi bingwa ni Brazil bila hata ya kubebwa. Tatizo lenu wachukia Brazil mnaangalia majina makubwa katika soka duniani. Hayo majina kwa sasa hayapo Brazil mtashuhudia kila timu inayopita mbele ya Brazil ikicharazwa. Nawahakikishia wote mnaoichukia Brazil mtaendelea kuhuzunika hadi fainali. Jipangeni upya kwa ajili ya WC 2018.
 
Mkuu mimi siichukii brazil, la hasha ila nazungumzia uwezo wake kisoka umeshuka na si kama ule uwezo tuliouzowea.
 
Nijuavyo mimi bingwa ni Brazil bila hata ya kubebwa. Tatizo lenu wachukia Brazil mnaangalia majina makubwa katika soka duniani. Hayo majina kwa sasa hayapo Brazil mtashuhudia kila timu inayopita mbele ya Brazil ikicharazwa. Nawahakikishia wote mnaoichukia Brazil mtaendelea kuhuzunika hadi fainali. Jipangeni upya kwa ajili ya WC 2018.

Umenena vizuri
Wengi mashabiki wa #England ,#Spain ,#Italy ,#France ,#Ghana
Wanaichukia Brazil na hawataki kabisa kuona Brazil ikishinda
 
kiukweli nawaombea Brazil ichukue kombe by any means necessary!waungeunge hivo hivo mpaka mwisho
 
Back
Top Bottom