Mkuu hoja ya kubebwa brazil unaitowa wapi? hebu usilete siasa kwenye soccer mkuu. hili neno umelirudia mara kadhaa.
Tumeshuhudia Chile wakipiga buti na howard kuwabana brazil kimtindo mpaka matuta, mbona chile hakupita?
tumeshuhudia mchezo wa jana wakasi viatu nk, nasasa Neyma kavunjwa mgongo, katikati brazil walipa yelow na hata wapinzani wao.
Hakuna kitu cha kuzusha bwana ile soccer hukuitazama peke yako, tumetazama wote.
Tujitahidi kuwa wakweli, timu zilizohujumiwa na marefa ni zakwetu afrika, rafu ndogo tu kadi nk.