Ya soda
Anti-argentina & Holland wote wapigwe nusu final wacheze ubelgiji name Costa Rica ili my hero James Rodriguez achukue golden boot
Leo #teamBelgium
#teamCostarica
Kikolo nimeenda sehemu 3 tofauti wote wanasema hawauzi kwa sasa mbuzi -katoliki sababu ya mfungo wa Ramadhan
Kuna jamaa kafanana na nyoshi el saadat mchezaji wa ubeligiji hahaha kweli duniani wawili
Kesho ni #TeamCostaRica na #TeamBelgium .... Naona Fifa watafanya juu chini fainali iwe Brazil na Argentina.