World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

FIFA sijui wanatumia vigezo gani kupanga marefa. Timu kutoka UEFA (Belgium) inapambana na timu kutoka CONMEBOL (Argentina) halafu refa anatoka UEFA (Italy). Kwanini asitoke kwingine ... North America, Africa, Asia ...?

FIFA ni janga hakuna haki huko ni ubabe ubabe tu ... .... .
 
Mitaa hii jua limewaka vizuri... hivyo nipo Terrace ...nasubiri kusikia kelele za goli ndio niingie kuona kulikoni...

#TeamHolland tutaonana baadae
 
Wakuu msaada pls,,, SS3 yangu haionesh clear kitu knastak stak naweza saidiwa?


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Hizi nusu fainali balaa,goli linaingia dakika za mwanzo mwanzo tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
#ARG starting-XI: Romero, Zabaleta, Demichelis, Garay, Basanta, Biglia, Mascherano, Lavezzi, Messi, Di Maria, Higuain
 
Back
Top Bottom