World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

vijamaa vifupi halafu vinafunga watu warefu, hii haikubaliki hata kidogo.
 
Belgium wangetumia mipira ya cross ya kufunga kwa vichwa, viargentina ni vifupifupi.
 
Tafadhali Katavi kama uko Belgium nakuomba uhame kwa nia njema kabisa
 
Last edited by a moderator:
Tangu robo fainali ianze timu iliyoanza kufunga ndo inaibuka kidedea

Ila kwakua siipendi Argentina lazima afungwe tu kwa namna yoyote ile
 
Back
Top Bottom