World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

hivi jukwaa la siasa kuna mtu kule sasaivi?
crazy_costumes_of_world_cup_fans_24[1].jpg
 
Gooa tunakosakosa bao hapa daa na dk nazo zinazidi kuyoyoma
 
Mess anataka apewe upendeleo na hajachezewa rafu
Huyu refa nimemfagilia ghafla hamna cha ustaa wa kujidondosha ovyo!
 
Hii mechi hutakiwi hata kublink macho
 
Nachoona hapa kwa beki hii ubeligiji wanaweza kula nyingi
Wanajisahau wanapanda wote!
 
Back
Top Bottom