Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Mungu wanguu...Dahhhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ana kima*i huyo nini?
Tangu nianze kushabikia kombe la dunia hakuna timu niliyoisapoti ikashinda.
mzee wa kumeza visu upo? Salama lakini?
Tuko njema..
Umechelewa leo kufika uwanjani....
Argentina wamepaki lori na kufanya mashambulizi ya kustukiza hapa daa tutapona kweli?
habari zenu bana
Moja Italy tulimpiga England.Kwi kwi kwi kwi....Jamaa kuanzia kombe la Dunoa lianze hakuna team aliyoshabikia imeshinda...
Belgium wamezinduka na nguvu....
Seriously.....!