World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Sema ukweli E. Hazard hajawa na WC nzuri...yupo too average!!
 
Acha urongo wewe!! Haiwezekani yaani husiipende japo kidogo timu yoyote kati hizi...
Tangu nianze kushabikia kombe la dunia hakuna timu niliyoisapoti ikashinda.
 
Argentina wamepaki lori na kufanya mashambulizi ya kustukiza hapa daa tutapona kweli?
 
Back
Top Bottom