World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

haya huenda tukawa wote.

Mkuu Ed n Edd nEddy

Umetuletea matatizo Team brazil

[MENTION]
quote_icon.png
By Ed n Edd nEddy

Ngoja nikuwahi tu mkuu me ni #teamBrazil all time

[/MENTION]
 
Last edited by a moderator:
Teama Belgium kunyweni maji mengi,kipindi hiki mtakimbizwa mara mbili...!
 
Hahahaahahaaaa nacheka hapa mnavyomkataza my kaka Katavi, asitaje timu anayoshabikia.
Sasa hivi nashabikia timu yangu tu Brazil basi, hawa wote waliobaki ni wapinzani wetu.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hazard kacheza rafu mbaya hapa na anazawadiwa kadi ya njano
 
Kuna jamaa hapa wanavyolikosea jina la Felaini karibu watatukana tu,mara filauni mara fellaneni.
 
Back
Top Bottom