World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

leo belgium wamekuwa wazito mno, hawana speed, miili yao imekuwa slow.
 
Leo ubeligiji kuna mtu anakula red wasipokuwa makini
 
Vamos Belgium! Its now or never. Hizi ndio dakika zenu za kusawazisha.

 
Mwisho wa timu zinazotegemea bahati umefika,na mashabiki wao pia
 
Bora Hazard katolewa, alikuwa anapooza sana kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…