World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Vamos Argentina/ Belgium

Bry5If0IUAAal3e.jpg:large
 
kiwango cha soka duniani kimeshuka, huyu messi angekuwepo WC za kati ya 86 na 98 angekuwa average player sio star.

86 star alikuwa babau yake Messi "Diego" angalia vimo vyao....sawa,viwango.....sawa,kasi......sawa!messi angewika WC 86!
 
86 star alikuwa babau yake Messi "Diego" angalia vimo vyao....sawa,viwango.....sawa,kasi......sawa!messi angewika WC 86!

messi anakiwango sawa na maradona?
messi anakasi sawa na maradona?
are you serious?
 
Lukaku nae mhh tumemtoa Origi afadhali kaingia Lukaku potelea mbali
 
Leo Belgium tumetota basi tena akigusa Felain offside Lukaku offside aagh!
 
Kulaleki...nishaanza kuhisi kama vile dream final (Brasil vs. Argentina) inaandaliwa vile!!!
 
Back
Top Bottom