World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Real Madrid great Alfredo Di Stefano is in "critical condition" in hospital after a heart attack:...
 
messi anakiwango sawa na maradona?
messi anakasi sawa na maradona?
are you serious?

Messi ni zaidi ya Maradon and this is a fact!
Just go and peruse rekodi zao!Akichukua kombe hili Messi atavunja rekodi zote
 
Nikiangalia soka inayoonyeshwa na timu za Amerika ya Kusini naona kama Uholanzi watafungasha virago leo dhidi Costa Rica.

Nadhani pia ni wakati mwingine wa Betting Firms kuvuna fedha za watu maana wengi wameweka fedha zao kwa Uholanzi
 
Messi ni zaidi ya Maradon and this is a fact!
Just go and peruse rekodi zao!Akichukua kombe hili Messi atavunja rekodi zote

mkuu mimi huwa sina chuki binafsi ingawa simkubali ila messi is wonderful, genius n magician kwenye soka

Mimi naungauna na kauli ya ronaldo de lima kuwa hata kama messi asipobeba kombe la dunia hadi akastaafu soka no one touch his place
 
Ha! Pole hata JKINA hujatia maguu? Natamani nijitolee nikutembeze jaman!! Hapo vingunguti ndo mahakama ya mbuzi ilipo.

Sijafika huko mkuu.

Ntajitahidi nikipata muda nikapatembelee
 
#NED team to face #CRC : Cillessen, Vlaar, De Vrij, Martins Indi, Blind, Van Persie, Sneijder, Robben, Kuyt, Wijnaldum, Depay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…