Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nope leo vijana hawataniangusha wataishangaza dunia
Team Holland mpaka fainali
Joel Campbell leo anahitimisha safari ya waholanzi
Kipenzi cha wanangu,Mungu akuponye haraka Neymar,urudi kazini
Haya,ila uje tu kwa nusu fainali ni team mbili za ulaya na mbili za america ya kusini,sasa hapo Argentina,Brazil na Germany tayari.Inasubiliwa Uholanzi tu,bye bye CostaricaKila la heri #teamholland leo nipo #teamcostaRica
Siku hiyo itakuwa balaa,maana zote nazipenda!nitazisapoti zote....and then you'll switch to #TeamBrazil.
Haya,ila uje tu kwa nusu fainali ni team mbili za ulaya na mbili za america ya kusini,sasa hapo Argentina,Brazil na Germany tayari.Inasubiliwa Uholanzi tu,bye bye Costarica
Kipenzi cha wanangu,Mungu akuponye haraka Neymar,urudi kazini
Siku hiyo itakuwa balaa,maana zote nazipenda!nitazisapoti zote
Nawaonea huruma #TeamCostaRica
Mwenye mkosi keshachagua timu itakayoaga mashindano
Van Persie au Robben kuna mmoja wao atapewa mpira aondoke nao baada ya mechi