World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

1034371_Holland.jpg
1034370_Costa_Rica.jpg
 
Come on Costa Rica funga hao Wadachi ndege inawachubiri fasta airport .... .... .... .
 
Leo wale divers watakula red Card ... ... .... ... ... Wadachi wanashinda kwa diving ..... ... bloody cheaters.
 
Wadau, hadi sasa ni mchezaji gani tunaweza kusema ni Man of the Competition( siyo kwa kigezo cha idadi ya magoli)
Mi bado naona ni Linel akifuatiwa na Neymar na J Rodriguez kwa mbali anafunga list babu wa kujiangusha Roben
 
Haya,ila uje tu kwa nusu fainali ni team mbili za ulaya na mbili za america ya kusini,sasa hapo Argentina,Brazil na Germany tayari.Inasubiliwa Uholanzi tu,bye bye Costarica

mie sina lakuongea ngoja tusubirie labda mnaweza kwenda nusu fainali.
 
Back
Top Bottom