Holland, leo namshabikia babu ya Roben
Ulitaka awekwe nani??
MEANDU unamuonea Jana alikua Germany na ilishinda baada ya hapo ikawa majanga
Acha bwana, Katavi akiwa upande wako imekula kwako, hauhitaji pweza, wala ngamia kujuwa matokeo.
kwa hii post Holland haoooooo
to the semi finals
Baadae kama kawaida yangu siku ya leo.
Wala sijamuonea huyo yaani amepata moja kati ya kumi sasa hapo kimahesabu ni majanga, teammajanga:frusty:
tumepita kwa vitatu bila majibu.Hao unawataja wamepita?
hahahahahah lol!!!!! You're on losing side again