palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Team CostaRica namuwekea Bond Heaven on Earth
asante kwa kunitetea. Mie nilishasema huwa sichagui timu kwasababu nataka ishinde hapana ila siku hiyo inakuwa hivyo. #teamcoastarica mechi ya sasa
Wakifungwa CostaRica utafanya nini?
wadau, hadi sasa ni mchezaji gani tunaweza kusema ni man of the competition( siyo kwa kigezo cha idadi ya magoli)
mi bado naona ni linel akifuatiwa na neymar na j rodriguez kwa mbali anafunga list babu wa kujiangusha roben
sawa meandu ntakuja kusoma updates tu
Come on Costa Rica funga hao Wadachi ndege inawachubiri fasta airport .... .... .... .
hahaha unaweka ngapi mwekundu niambie kabisa
kila la kheri Holland ...
ngoja nilale sintoweza kuangalia hii match,.....
Haya hudumiakila la kheri Holland ...
ngoja nilale sintoweza kuangalia hii match,.....
Nimeshamuweka bondi Heaven on EarthWakifungwa CostaRica utafanya nini?
mzee Kuyt huwa sioni anachochangia..