World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Messi ni zaidi ya Maradon and this is a fact!
Just go and peruse rekodi zao!Akichukua kombe hili Messi atavunja rekodi zote

messi sio zaidi ya maradonna, na haitakuja kuwa hivyo kamwe. Kama unaongelea mafanikio ya Barca angalia kwenye timu messi anasaidiwa na kina nani halafu angalia maradonna alikuwa anasaidiwa na kina nani.
Kwa jinsi kiwango cha soka kilivyoshuka, maradonna yule ungemuweka leo kwenye kikosi hikihiki cha argentina argentina wangechukua kombe hili. Messi hachukui hili kombe.
 
tunavaa za rangi tofauti

Rangi tofauti ndo tutazidi kuchanganyana, sababu hata timu yetu #TeamCostaRica hatuna jezi zinazofanana. Demba hujawahi kutazama mpira wa uswahilini(Chandimu) nini? Timu huwa hazina jezi bali zinakubaliana timu moja inavaa mashati yaani kila mchezaji anavaa shati lake na timu nyingine inakuwa kifua wazi.
 
Mpira ulikuwa jana Bwana Brazil na Colombia,Hata ule wa Holland na Mexico ulikuwa mkali sana,kwa kweli mpira unategemea unakutana na team gani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…